Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ndg Ndg Renatus Mchau Katika kikao cha makabidhiano Mara baada ya kuhamishiwa Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya
Mkurugenzi mteule wa halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ndg Eaton Paul Ngilangwa akiongea Katika kikao cha makabidhiano Mara baada ya kuripoti Katika halmashauri hiyo
Aliyekuwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Ndg Renatus Mchau (Kulia) akimkabidhi nyaraka rasmi za Ofisi ndg Paul Ngilangwa ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo . Ndg Renatus Mchau amehamishwa kwenda Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Mhe.Farida Kikoleka akizungumza Katika hafla ya makabidhiano ya ofisi baina ya wakurugenzi wawili ,ndg Renatus Mchau aliyehamishiwa wilaya ya Rungwe na ndg Paul Ngilangwa anayechukua nafasi ya ndg Renatus Mchau