Home Mchanganyiko RIDHIWANI ANAENDELEA NA ZIARA YA JIMBONI CHALINZE

RIDHIWANI ANAENDELEA NA ZIARA YA JIMBONI CHALINZE

0

Na Mwamvua Mwinyi..

Mbunge wa Jimbo la chalinze , Ridhiwani Kikwete,ameendelea na ziara yake katika Tarafa ya Miono kwa kufanya mikutano na Wananchi kuzungumza maendeleo ya maeneo mbalimbali na Kuhimiza Kupata Chanjo ya Uviko 19 kwa wananchi. 
Ridhiwani alielezea, katika ziara hiyo anasikiliza kero ambapo zipo anazozijibia utekelezaji wake unavyoendelea na nyingine mpya anazipokea kwenda kuzifikisha maeneo husika zifanyiwe kazi.
#KaziIendelee #ChalinzeIendelee