Home Mchanganyiko KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE APATIWA CHANJO YA CORONA,...

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE APATIWA CHANJO YA CORONA, LEO KATIKA HOSPITALI KUU YA MAGEREZA, UKONGA, DSM

0
MKUU wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee leo akiwa pamoja na Mkuu wa Magereza Mkoani DSM(hayupo pichani) wamepatiwa chanjo ya Corona ambapo, pia Mkuu wa Jeshi hilo amewaasa askari wa Jeshi la Magereza waliopo mkoa wa DSM kufika Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza iliyopo Ukonga ili kupata chanjo hiyo.