Home Biashara NAIBU WAZIRI GEKUL ATEMBELEA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

NAIBU WAZIRI GEKUL ATEMBELEA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

0

Mkurugenz Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Bakari (katikati) akifafanua jambo kwa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea mamlaka hiyo kwa lengo la kuona shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (kushoto) akifafanua jambo kwa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa lengo la kuona shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam na katikati ni Mkurugenz Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Bakari.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kushoto) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea mamlaka hiyo kwa lengo la kuona shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) akipata maelezo toka kwa Mtunza Makumbusho ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea mamlaka hiyo kwa lengo la kuona shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenz Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Jabir Bakari.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kushoto) akipata maelezo toka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja toka  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea mamlaka hiyo kwa lengo la kuona shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam.

Picha na WHUSM – Dar es Salaam