Home Uncategorized RAIS DK MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZIFF IKULU ZANZIBAR

RAIS DK MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZIFF IKULU ZANZIBAR

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof. Martin Mhando akitowa maelezo ya Malengo na Dhamira ya Tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika  kesho 21/7/2021 katika viwanja vya Ngome Kongwe Jijini Zanzibar,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar (ZIFF) Prof Martin Mhando, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya malengo la Tamasha hilo la Ziff, linalotarajiwa kufanyika katika viwanja vya ngome kongwe Jijini Zanzibar 21-7-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu