Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITAL YA WILAYA UVINZA

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITAL YA WILAYA UVINZA

0

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akiweka jiwe la Msingi Hospitali ya Wilaya Uvinza. Ujenzi wa Hospitali hiyo unagharimu jumla ya shilingi bilioni 3.8.

 

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akiwasilimu wananchi katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Uvinza   mkoani Kigoma. Makamu wa Rais yupo Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku nne.

Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango   Akipokea maelezo ya ujenzi  wa baadhi ya majengo ya  Hospitali ya wilaya ya Uvinza kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza Bw. Weja Ngolo Julai 15, 2021

PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS