Home Mchanganyiko WAZIRI SIMBACHAWENE ATETA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

WAZIRI SIMBACHAWENE ATETA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika msauala ya ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki. Kikao hicho kilifanyika Ofisi Ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki. Kikao hicho kilifanyika Ofisi Ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu (wapili kulia), mara baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika masuala ya ulinzi na ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki. Kikao hicho kilifanyika Ofisi Ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo.

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.