Home Mchanganyiko RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MJINI UNGUJA.

RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MJINI UNGUJA.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Jamiu Zenjibar Mazizini Jijini Zanzibar akihudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe,Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid JamiuZenjibar Mazizini Jijini Zanzibar. na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Idara ya Uvuvi Zanzibar Ndg.Idrisa Mussa akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Jijini Zanzibar akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja (Picha na Ikulu)