Home Mchanganyiko RAIS MHE.DKT. MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIUWATEUA HIVI KARIBU

RAIS MHE.DKT. MWINYI AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIUWATEUA HIVI KARIBU

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Hati yake ya kiapo Bw.Asaa Ahmad Rashid baada ya kumaliza kumuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw. Abdalla Mzee Abdalla kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa Serikali wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wimbo wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kuwapishwa Viongozi aliowateua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati yake ya kiapo Bw. Abdalla Mzee Abdalla, baada ya kumaliza kumuapisha kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)