Home Mchanganyiko RAIS MWINYI AMTEUA DKT.MAHMOUD ALAWI KUWA MKURUGENZI TAASISI YA KARUME YA SAYANSI...

RAIS MWINYI AMTEUA DKT.MAHMOUD ALAWI KUWA MKURUGENZI TAASISI YA KARUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteuwa Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena A. Said amesema uteuzi huo unaanzia leo tarehe 25 Juni, 2021

IMETOLEWA NA IDARA YA HABRI MAELEZO