Home Mchanganyiko RAIS DKT.MWINYI ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MASJID JAMIU ZINJIBAR.

RAIS DKT.MWINYI ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MASJID JAMIU ZINJIBAR.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimskiliza Mwanasiasa Mkongwe na Muasisi wa Umoja wa Wanawake  Tanzania (UWT) Bi.Asha Simba Makwega alipofika nyumbani kwake Kilimani,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofika kumjulia hali.[Picha na Ikulu] 25/06/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akitoa agizo kwa Katibu wa Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume mara baada ya swala ya Ijumaa pamoja na  Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Jamiu Zinjibar,Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu] 25/06/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo alipofuatana  na Katibu wa Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto) mara baada ya swala ya Ijumaa pamoja na  Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Jamiu Zinjibar,Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo (kulia) Mkuu wa Mkoa Mjni Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 25/06/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na waumini wa dini ya kiislamu wakiitikia dua iliyoombwa na   Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa  pili kushoto) mara baada ya swala ya Ijumaa   katika Masjid Jamiu Zinjibar,Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo (kulia) Mkuu wa Mkoa Mjni Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 25/06/2021.