Home Mchanganyiko TECNO YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WASHINDI WA TWENDE ZETU CAMPING KISTAA.

TECNO YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WASHINDI WA TWENDE ZETU CAMPING KISTAA.

0

NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM

Kampuni ya simu TECNO imehitimisha Kampeni ya Twende zetu camping kistaa 15/6/2012 kupitia droo ya bahati nasibu iliyochezeshwa mubashara na msanii maarufu Elizabeth Michael kupitia @tecnomobiletanzania.

Akizumgumzia droo hiyo Afisa Mahusiano Bw. William Motta, amesema kuwa wateja wa Camon 17 zaidi ya 30 walijishindia zawadi mbalimbali kama Fridge, King’amuzi cha DSTV, Drones na ticket ya kutembelea Mbuga ya Wanyama Mikumi.

Amesema kuwa kampeni ya Twende zetu camping kistaa ilianza rasmi baada ya uzinduzi wa TECNO Camon 17 simu inayosifika kuwa na kamera nzuri zaidi kwa sasa kuzidi simu za makampuni mengine ya simu.

TECNO Camon 17 ina MP48 za camera ya mbele na nyuma imebeba MP64 lakini vile vile camera ya mbele ina 4k video resolution na camera ya nyuma ina black and white mode maalumu kwajili ya kurecord filamu.

TECNO inawaahidi wapenzi wa simu za mkononi kuendelea kutembelea maduka ya TECNO kwani mwisho wa promosheni hii ndio mwanzo wa promosheni nyengine kubwa zaidi lakini pia TECNO imewataka kutembelea www.tecno-mobile.commara kwa mara.