Home Mchanganyiko RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA IKULU

RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA IKULU

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Mehmet Gulluoglu alipofika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongazana na mgeni wake Balozi wa Uturiki Nchini Tanzania Mhe. Mehmet Gulluoglu, akimshindikiza baaba ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)