Home Mchanganyiko RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA...

RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI NCHINI TANZANIA BALOZI REGINE HESS IKULU ZANZIBAR.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Balozi wa Shirikisho la Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 16/6/2021, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Regine Hess, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regine Hess, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)