Home Mchanganyiko MAJALIWA ATEMBELEA BANDA LA TET KATIKA KONGAMANO LA MIAKA 50 LA ELIMU...

MAJALIWA ATEMBELEA BANDA LA TET KATIKA KONGAMANO LA MIAKA 50 LA ELIMU YA WATU WAZIMA

0

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mh.Kassimu Majaliwa ametembelea banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) katika kongamano la miaka 50 ya Elimu ya watu wazima,(kulia) ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mh.Joyce Ndalichako.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Bi. Dorothy Natale,kuhusu upatikanaji wa vitabu vya kiada Shuleni katika kongamano la miaka 50 la Elimu ya watu wazima linalofanyika katika viwanja vya maktaba kuu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kuanzia tarehe 9 hadi 11 mwezi Juni.