Home Mchanganyiko RAIS MWINYI AMKABIDHI MAMA NYERERE KITABU CHA SIMULIZI YAKE

RAIS MWINYI AMKABIDHI MAMA NYERERE KITABU CHA SIMULIZI YAKE

0
Mhe. Dkt. Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani leo tarehe 02-06-2021 amefika Msasani jumbani kwa baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kumkabidhi mjane wa baba wa taifa Kitabu cha simulizi ya maisha ya Mzee Mwinyi, “Mzee Ruksa safari ya Maisha yangu”