Home Burudani NBAA YASHIRIKI MAONYESHO YA PILI ELIMU YA MAFUNZO NA UFUNDI JIJINI DODOMA

NBAA YASHIRIKI MAONYESHO YA PILI ELIMU YA MAFUNZO NA UFUNDI JIJINI DODOMA

0

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akisalimiana na Afisa masoko na majadiliano wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu nz Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) Magreth Kaheya alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu nz Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)  katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea  katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka akiweka saini katika kitabu cha wageni, alipotembelea banda la  NBAA katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea  katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akipata maelezo kutoka kwa  Afisa masoko na majadiliano wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu nz Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) Magreth Kaheya,alipotembelea banda la NBAA  katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea  katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akitoa maelezo mara baada ya kutembelea banda la  Bodi ya Taifa ya Wahasibu nz Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)  katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea  katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.