Home Mchanganyiko SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA...

SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA ROBO TATU YA MWAKA 2020/2021

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama muda mfupi kabla ya kuanza Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara hiyo kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara hiyo kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Sera na Mipango ,Wanja Mtawazo akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Naibu Kamishna wa Polisi, Lucas Mkondya akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John  Masunga akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Katibu wa Kamati, Jenita Ndone  akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.

Mchumi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Wilson Gwoma akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi