Home Mchanganyiko RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROF.SINAIT FEISSENO MKURUGENZI WA MIRADI...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROF.SINAIT FEISSENO MKURUGENZI WA MIRADI YA TAASISI YA SUZAN THOMPSON BUFFET IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Fisseha mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 31 Mei, 2021.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Fisseha pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Mkurugenzi wa Miradi wa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Fisseha mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU