Home Mchanganyiko WAFANYAKAZI ORPP WAPIGWA MSASA MASUALA YA UTUMISHI WA UMMA

WAFANYAKAZI ORPP WAPIGWA MSASA MASUALA YA UTUMISHI WA UMMA

0

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mohammed Ahmed Ally  akichangia mada wakati wa Mafunzo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP)  leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo kuhusu masuala mbalimbali kuhusu utumishi wa umma ikiwemo namna ya ujazaji wa OPRAS, Sheria ya Utumishi wa Umma na Haki na wajibu wa mtumishi wa umma. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Magohu Zonzo na Mhasibu Mkuu wa ORPP, Mbogo Mnubi.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Magohu Zonzo akizungumza jambo wakati wa mafunzo kuhusu masuala mbalimbali kuhusu utumishi wa umma ikiwemo namna ya ujazaji wa OPRAS, Sheria ya Utumishi wa Umma na Haki na wajibu wa mtumishi wa umma. Katikati ni Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mohammed Ahmed Ally.

Mkufunzi kutoka Tume ya Utumishi wa Umma, Bibi. Rose Silayo akiwasilisha mada kuhusu Sheria ya Utumishi wa Umma wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyana vya Siasa (ORPP) kuhusu masuala mbalimbali ya utumishi wa umma ikiwemo namna ya ujazaji wa OPRAS, Sheria ya Utumishi wa Umma na Haki na wajibu wa mtumishi wa umma.

Mkufunzi kutoka Tume ya Utumishi wa Umma, Bibi. Pricila Ambelile akiwasilisha mada kuhusu haki na wajibu wa mtumishi wa umma wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyana vya Siasa (ORPP) kuhusu masuala mbalimbali ya utumishi wa umma ikiwemo namna ya ujazaji wa OPRAS, Sheria ya Utumishi wa Umma na Haki na wajibu wa mtumishi wa umma.

Baadhi ya washiriki wakichangia mada wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyana vya Siasa (ORPP) kuhusu masuala mbalimbali ya utumishi wa umma ikiwemo namna ya ujazaji wa OPRAS, Sheria ya Utumishi wa Umma na Haki na wajibu wa mtumishi wa umma.

Baadhi ya wafanyakazi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wakifuatilia mada wakati wa mafunzo kwa wafanyakazi hao kuhusu masuala mbalimbali ya utumishi wa umma ikiwemo namna ya ujazaji wa OPRAS, Sheria ya Utumishi wa Umma na Haki na wajibu wa mtumishi wa umma. (Picha na ORPP)