Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali akizungumza na Balozi mdogo wa China Shang Shisceng kuhusu uboreshwaji wa udhamini wa masoma nchini China walipokutana Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali akifafanua kitu wakati wa mazungumzo yake na Balozi Mdogo wa China Shang Shisceng Ofisi kwake Vuga.
Balozi mdogo wa China Shang Shisceng akimpazawadi ya Vitabu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fenda na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali baada ya mazungumzo yao..
Picha na Makame Mshenga.