Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI AAPA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI WA JESHI...

NAIBU WAZIRI AAPA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI WA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

0

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiapa mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Leila Mgunya kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiweka Saini katika hati ya kiapo baada ya kuapa kuwa Makamu  Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akikabidhiwa hati ya kiapo na Jaji wa Mahakama Kuu, Leila Mgunya(kushoto) baada ya kuapa kuwa Makamu  Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.