Home Mchanganyiko BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YAPITA BILA...

BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YAPITA BILA KUPINGWA

0

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  Elias Kwandikwa akipongezwa na wabunge baada ya Bajeti ya wizara hiyo kupita bila kupingwa usiku huu bungeni Dodoma.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa  (katikati), Katibu Mkuu wa wizra hiyo, Faraji Mnyepe na Mnadhimu Mkuu Jeshini, Luteni Jenerali Yocoub Mohamed (kulia) wakifurahia jambo  baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupita bila kupingwa bungeni Dodoma.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  Kwandikwa akihitimisha kwa kutoa hoja ya Bajeti hiyo bungeni Dodoma.

Baadhi ya viongozi na  maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa kwenye viwanja vya Bunge wakati wa bajeti hiyo.

Baadhi ya viongozi na maofisa wa Bunge wakitambulishwa bungeni Dodoma wakati wa Bajeti hiyo.

Waziri Kwandikwa akiwa na baadhi ya wageni wake kwenye viwanja vya Bunge

Baadhi ya viongozi na maofisa wa JWTZ