RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Dini na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Eid El Fitry,ikisaliswa na Sheikh Rashid Salim Dau,iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuka katika Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wa Diniu na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kar\tiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwac Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Rais wa Tanzania Mstaaf Alhaj Dkt.Mohammed Gharib Bilal baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)