MNEC wa Chama cha Mapinduzi CCM kupitia mkoa wa Iringa na msimamizi wa Uchaguzi MNEC mkoa wa Arusha Ndugu Salim Abri Asas akizungumza kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo uliofanyika leo jijini Arusha na kumchagua Ndugu Daniel Palangyo kuwa MNEC wa Chama cha Mapinduzi kupitia mkoa wa Arusha.
MNEC wa Chama cha Mapinduzi CCM kupitia mkoa wa Iringa na msimamizi wa Uchaguzi MNEC mkoa wa Arusha Ndugu Salim Abri Asas akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Zelothe Steven kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo uliofanyika leo jijini Arusha na kumchagua Ndugu Daniel Palangyo kuwa MNEC kupitia mkoa wa Arusha.
Mbunge wa jimbo la Monduli na mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ausha Bw. Fredy Lowasa akizungumza jambo katika mkutano huo wa uchaguzi.
MNEC wa Chama cha Mapinduzi CCM kupitia mkoa wa Iringa na msimamizi wa Uchaguzi MNEC mkoa wa Arusha Ndugu Salim Abri Asas na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Zelothe Steven wakifuatilia hoja katika mkutano huo wa uchaguzi uliofanyika leo jijini Arusha na kumchagua Ndugu Daniel Palangyo kuwa MNEC wa Chama cha Mapinduzi kupitia mkoa wa Arusha.
MNEC wa Chama cha Mapinduzi CCM kupitia mkoa wa Iringa na msimamizi wa Uchaguzi MNEC mkoa wa Arusha Ndugu Salim Abri Asas akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya uchaguzi huo kukamilika na kumchagua Ndugu Daniel Palangyo kuwa MNEC wa Chama cha Mapinduzi kupitia mkoa wa Arusha.