Home Mchanganyiko SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA TLS BUNGENI JIJINI...

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA TLS BUNGENI JIJINI DODOMA

0
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) walioongozwa na Rais wa Chama hiyo, Dkt. Edward Hosea (kushoto kwake) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward Hosea alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.