Home Mchanganyiko RC MAHENGE AFUNGA MAFUNZO YA KUWAWEZESHA MADIWANI WANAWAKE MKOA WA DODOMA,AWATKA KUSIMAMIA...

RC MAHENGE AFUNGA MAFUNZO YA KUWAWEZESHA MADIWANI WANAWAKE MKOA WA DODOMA,AWATKA KUSIMAMIA MIRADI

0

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge,akifunga Mafunzo ya kuwawezesha ya Siku tatu ya waheshimiwa Madiwani Wanawake yaliyohudhuriwa na washiriki 40 ambayo yaliwakutanisha madiwani kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyotolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Baadhi ya Waheshimiwa Madiwani Wanawake wakifatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge,(hayupo pichani) wakati akifunga Mafunzo ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani ya Siku tatu  yaliwakutanisha madiwani wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyotolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge,akimsikiliza kwa  Meneja wa Mradi wa Hanns Seidel Foundation Kadele Mabumba akizungumzia jinsi walivyoamua kuitisha mafunzo hayo wakati wa kufunga  Mafunzo ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani  yaliwakutanisha madiwani wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba kwa siku tatu yaliyotolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda  jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

 Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Fatma Toufiq ambaye amewezesha uwepo wa mafunzo hayo kwa kuomba Ufadhili kwnye shirika la HSF akitoa neno la shukrani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge aliyefunga Mafunzo ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani yaliwakutanisha madiwani wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyofanyika kwa siku tatu yaliyotolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda  jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Fatma Toufiq ambaye amewezesha uwepo wa mafunzo hayo kwa kuomba Ufadhili kwnye shirika la HSFakitoa Vyeti kwa Madiwani walioshiriki Mafunzo ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani yaliwakutanisha kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyofanyika kwa siku tatu na kutolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda  jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Fatma Toufiq ambaye amewezesha uwepo wa mafunzo hayo kwa kuomba Ufadhili kwnye shirika la HSF,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge kufunga Mafunzo ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani Wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyofanyika kwa siku tatu na kutolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda  jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Diwani wa Kata ya Mbabala Pascazia Mayala,akizungumzia mafunzo waliyoyapata waheshimiwa Madiwani Wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyofanyika kwa siku tatu na kutolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda  jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Meneja wa Mradi wa Hanns Seidel Foundation Kadele Mabumba akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungwa kwa mafunzo  ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani Wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba kwa siku tatu na kutolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Fatma Toufiq ambaye amewezesha uwepo wa mafunzo hayo kwa kuomba Ufadhili kwnye shirika la HSF akiwa katika picha ya pamoja na Madiwani 40 walioshiriki  Mafunzo ya kuwawezesha waheshimiwa Madiwani yaliwakutanisha kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyofanyika kwa siku tatu na kutolewa na Shirika la Kijerumani lijulikanalo Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda jumla ya washiriki 40 wamehudhuria yaliyomalizika leo Mei 5,2021 jijini Dodoma.

………………………………………………………………………………..

Na.Alex Sonna,Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Binilith Mahenge amewataka Madiwani Wanawake kusimamia Halmashauri katika utekelezaji wa miradi ya Afya,Elimu Miundombinu,Biashara pamoja na huduma za kijamii ili miradi iweze kukamilika kwa wakati.

Agizo hilo amelitoa leo Mei 5,2021 jijini Dodoma wakati akifunga mafunzo ya kuwawezesha Madiwani wanawake kutoka Halmashauri za jiji la Dodoma,Chamwino na Chemba yaliyofanyika kwa siku tatu na kufadhiliwa na Shirika la Hanns Seidel Foundation (HSF) Tanzania na Uganda.

Dkt.Mahenge amesema kuwa lazima mkazingatie viwango vyote vya ubora viendane na thamani halisi ya fedha katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye ngazi ya Halmshauri/Serikali za Mitaa.

”Nimeambiwa kuwa mafunzo haya yamehudhuriwa na washiriki 40 nawapongeza kwa kwa kujitokeza kushiriki mafunzo hayo nawaomba mliyojifunza hamtayaacha hapa bali mtayaweka katika matendo yenu ya kila siku”amesema Dkt.Mahenge

Aidha Dkt.Mahenge amewataka kusimamia sula la ukusanyaji mapato (mapato ya ndani) pamoja na kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato na kuzuia ubadhirifu wa fedha za Serikali unaofanywa kwa njia mbalimbali.

”Mafunzo haya yakawe chachu katika kusimamia Halmashauri zenu katika uendeshaji wake,matumizi ya fedha kwa kufuata taratibu na kusimamia kanuni za kisheri ili kuondokana na hoja za CAG na kuepukana na kupata hati chafu na zenye mashaka”amesisitiza 

Amesema kuwa tayari ripoti ya CAG imeshatoka kwenye Halmashauri zetu kupitia hoja zote zilizoibuliwa na kuziwekea mkakati wa kuzishughulikia na kuzimaliza zote.

Hata hivyo amesema kuwa amefarijika kuona kwamba mafunzo haya ya siku tatu yamegusa wanawake zaidi,imani yangu kuwa kutakuwa na ongezeko la wanawake watakaoteuliwa,kuchaguliwa na kushiriki katika siasa ndani na nje ya vyama vya siasa.

”Hili ni muhimu zaidi katika ukanda wetu huu ambapo kushamiri kwa mfumo dume kumechangia kupungua kwa idadi ya wanawake wanaoshiriki katika shughuli za kisiasa na kiungozi”amesema Dkt.Mahenge

Kwa upande wake Mbunge wa Viti Maalum ambaye amewezesha uwepo wa mafunzo hayo kwa kuomba Ufadhili kwenye shirika la HSF Mhe.Fatma Toufiq amesema kuwa sababu ya kuwaita madiwani wanawake ni kuwafundisha masuala mbalimbali ili waweze kutenda kazi zao kwa weledi.

”Kuna masuala mbalimbali wamejifunza hapa kanuni,Diwani anatakiwa awaje,kufatilia msuala mbalimbali ya bajeti maana tumetoka kwenye uchaguzi hivyo kuna madiwani wapya lazima waweze kujua jinsi gani ya kuwatetea wanawake katika jamaii inayowazunguka”amesema Mhe.Toufiq

Katika mkutano huu kulikuwa na madiwani 40 lakini miongoni mw madiwanai hao ni wa vitu maalum pamoja na madiwani wa kata,tunajua madiwani wa kata kazi zao ni kusimamia katika kata pamoja na vijiji vinavyowazunguka lakini wa viti maalum wao wanasimamia tarafa.

”Tunaamini mafunzo hayo yawasaidia kufanya kazi kwa weledi pamoja na nakuona bajeti katika halmashauri zao na kushirika masula mbalimbali ili waweze kuishauri vizuri Serikali hatimaye maendeleo endelevu yaweze kupatikana”amesisitiza Mhe.Toufiq