Home Mchanganyiko RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA KENYA JIJINI...

RAIS MHE. SAMIA AHUTUBIA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA KENYA JIJINI NAIROBI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mwenyeji wake Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta wakati nyimbo za Mataifa Mawili ya Tanzania na Kenya wakati zikipigwa mara baada ya kuwasili Ukumbini kwa ajili ya kuhutubia Jukwaa la Wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania lililofanyika Jijini Nairobi Kenya leo tarehe 05, Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisikiliza hoja mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na Jukwaa la Wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania lililofanyika Jijini Nairobi Kenya leo tarehe 05, Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya katika Kongamano hilo la Wafanyabiashara lililofanyika Jijini Nairobi Kenya leo tarehe 05, Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuhutubia katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya lililofanyika jijini Nairobi nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuhutubia katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya lililofanyika jijini Nairobi nchini Kenya.

Sehemu ya viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara waliohudhuria Kongamano hilo jijini Nairobi. PICHA NA IKULU