Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza wakati wa semina kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Madawa ya Kulevya juu ya kifua kikuu na ukoma iliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Manaibu Mawaziri wawili wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Mwanaidi Khamis na Mhe. Dkt. Godwin Mollel na kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Madawa ya Kulevya, Mhe. Alice Kaijage
Meneja programu kutoka Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu na Ukoma (NTLP), Dkt. Liberate Mleoh akiwasilisha maada wakati wa semina kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Madawa ya Kulevya juu ya kifua kikuu na ukoma iliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mshiriki wa Sera na Ushirikiano NACOPHA, Ndg. Agnes Godda akiwasilisha maada wakati wa semina kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Madawa ya Kulevya juu ya kifua kikuu na ukoma iliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Madawa ya Kulevya wakifuatilia semina juu ya kifua kikuu na ukoma iliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Madawa ya Kulevya, Mhe. Grace Tendega akichangia jambo wakati wa semina kwa kamati hiyo juu ya kifua kikuu na ukoma iliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)