Home Michezo WAZIRI BASHUNGWA AONYA RUSHWA KWENYE MICHEZO

WAZIRI BASHUNGWA AONYA RUSHWA KWENYE MICHEZO

0

“Serikali kupitia Wizara ya Michezo ninayoiongoza tunapambana na rushwa kwenye michezo kwa nguvu zote na tunashirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhakikisha tunaweka mazingira wezeshi ya michezo nchini kukua bila kuwepo kwa mazingira ya rushwa, niwahakikishie Serikali haitofumbia macho Timu inayotumia rushwa kujipatia ushindi”—Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa  leo Bungeni