**********************
Klabu ya Simba Sc imepangiwa kucheza na Kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini baada ya droo ya robo fainali iliyopangwa leo jijini Cairo nchini Misri.
Mchezo wa kwanza utachezwa nchini Afrika Kusini kati ya Mei 14 na 15.
Mchezo wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kati ya Mei 21 ama 22, Uwanja wa Mkapa