Home Siasa CHONGOLO KATIBU MKUU WA CCM,SHAKA HAMDU KATIBU WA ITIKADI WA CCM

CHONGOLO KATIBU MKUU WA CCM,SHAKA HAMDU KATIBU WA ITIKADI WA CCM

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )Taifa, Mhe.Daniel Chongolo.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe.Shaka Hamdu Shaka.

********************

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya viongozi wake wakuu kitaifa ikiwemo nafasi ya Katibu Mkuu iliyokuwa inashikiliwa na Bashiru Ally pamoja na nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi iliyokuwa inashikiliwa na Humphrey Polepole.

Katika Mabadiliko hayo, CCM imempitisha Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu Mpya wa chama hicho, huku nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ikichukuliwa na Shaka Hamdu Shaka