Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFUNGUA KONGAMANO LA MIAKA 57 YA MUUNGANO

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFUNGUA KONGAMANO LA MIAKA 57 YA MUUNGANO

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akifungua Kongamano la miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika leo April 26,2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Jijini dodoma” Kauli mbiu Muungano wetu ni Msingi Imara wa Mapinduzi¬† ya Uchumi, Tudumishe Mshikamano wetu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)