Home Mchanganyiko RAIS DK.MWINYI AWAAPISHWA WAKUU WA VIKOSI VYA IDARA MAALUM ZA SMZ IKULU...

RAIS DK.MWINYI AWAAPISHWA WAKUU WA VIKOSI VYA IDARA MAALUM ZA SMZ IKULU LEO

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Commodore Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kanali Makame Abdallah Daima kuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKU) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kamishna Rashid Mzee Abdallah kuwa Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar ,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Luteni Kanali Burhani Zuberi Nassor kuwa Mkuu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kamishna Khamis Bakari Khamis kuwa Kamishna wa Vyuo vya Mafunzo Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha ACP Ahmed Khamis Makarani, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya ya Kuzuiya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bwa.Mussa Kombo Bakari kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar  hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)