Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA TARAWEKH KATIKA MASJID NUNGE JIJINI DODOMA.

0

WAUMINI wa Dini ya Kiislam Jijini Dodoma wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh. Abdi Mussa (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodoma jana usiku 22-4-2021(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Abdi Mussa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjidi Nunge Jijini Dodoma, na (kushoto kwa Rais ) Bw. Yunus Suru na (kulia kwa Rais) Bw. Omar Kirasi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Abdi Mussa (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodoma na (kulia kwa Rais) Sheikh.Omar Kirasi na (kushoto kwa Rais) Sheikh Yunus Suru, wakiitikia dua.(Picha na Ikulu)

SHEIKH Abdi Mussa akisoma dua baada ya kumaliza kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Nunge Jijini Dodoma baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Isha na Tarawekh, iliofanyika katika msikiti huo.(Picha na Ikulu)