Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto), Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi (wa pili kushoto) na  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)