Home Michezo JOSE MOURINHO AFUTWA KAZI TOTTENHAM HOTSPUR

JOSE MOURINHO AFUTWA KAZI TOTTENHAM HOTSPUR

0

*************************

Kocha wa zamani wa Chelsea,Manchester United na Real Madrid Jose Mourinho amefukuzwa kazi na klabu yake ya Tottenham Hotspur mara baada ya kugoma kuwaruhusu wachezaji kufanya mazoezi asubuhi ya leo akishinikiza kupinga klabu hiyo kujiunga kwenye michuano mipya ya European Super League.