Home Mchanganyiko WAZIRI JAFO PAMOJA NA NAIBU WAKE MHE.CHANDE WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA...

WAZIRI JAFO PAMOJA NA NAIBU WAKE MHE.CHANDE WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR MHE.HEMED SULEIMAN 

0

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo aliyeambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Hamad Hassan Chande walifanya ziara ya kujitambulisha kwa kiongozi huyo Zanzibar leo Aprili 16, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza wakati wa kikao na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla alipoambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Hamad Hassan Chande walipofanya ziara ya kujitambulisha kwa kiongozi huyo katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais iliyopo Vuga Zanzibar leo Aprili 16, 2021.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Hassan Chande (kulia) pamoja watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika kikao Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo aliyeambatana na Naibu Waziri wake Mhe. Hamad Hassan Chande walifanya ziara ya kujitambulisha kwa kiongozi huyo Zanzibar leo Aprili 16, 2021.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)