Home Mchanganyiko SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR’AN TANZANIA

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KUHIFADHISHA QUR’AN TANZANIA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sheikh Othman Ali Kaporo (wapili kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega (wapili kushoto) pale viongozi wa Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sheikh Othman Ali Kaporo (katikati) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akifurahia Jambo na viongozi wa Jumuiya ya kuhifadhisha Qur’an Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Sheikh Othman Ali Kaporo (katikati) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)