Home Mchanganyiko SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

0 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Donald Wright (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kushoto ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai. Dhumuni la miadi hiyo ni kumsalimu na kujadili masuala Mbalimbali ya ushirikiano wa kisekta kati yao na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Donald Wright alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Dhumuni la miadi hiyo ni kumsalimu na kujadili masuala Mbalimbali ya ushirikiano wa kisekta kati yao na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Marekani nchini ulioongozwa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Donald Wright (wapili kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai. Dhumuni la miadi hiyo ni kumsalimu na kujadili masuala Mbalimbali ya ushirikiano wa kisekta kati yao na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania