Home Mchanganyiko KADIO AFUNGUA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI...

KADIO AFUNGUA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

0

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza wakati akifungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma ambapo aliwataka kuongeza tija na ufanisi katika majukumu yao ya kila siku ya kuwahudumia wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa , Amani Msuya akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi lililofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Emmanuel Kayuni akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Fedha na Usimamizi wa Miradi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Jenitha Ndone akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Joseph Ngatunga akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi