Home Michezo NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE ZOEZI LA KUCHAGUA VIONGOZI...

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE ZOEZI LA KUCHAGUA VIONGOZI WA TIMU YA BUNGE SPORTS CLUB JIJINI DODOMA

0

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akiongoza zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akipiga kura wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson

Mbunge wa Kasulu Vijijini, Mhe. Vuma Augustino akiomba kura kwa nafasi ya Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club


Mbunge wa Mafinga Mjini, Mhe. Cosato Chumi akiomba kura kwa nafasi ya Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club

Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko akiomba kura kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club

Mbunge wa Manonga, Mhe. Seif Gulamali akiomba kura kwa nafasi ya Meneja wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club

Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Neema Lugakingira akipiga kura wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)