Home Mchanganyiko MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Makete, Festo Sanga Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021. 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 12, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wageni kutoka Moshono Arusha ambao  walitembelea Bunge  jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ( kushoto),  Aprili 12, 2021

 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)