Home Mchanganyiko SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOKAA NA KUPOKEA...

SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOKAA NA KUPOKEA TAARIFA YA KAMATI YA BAJETI JUU YA MASHAURIANO NA SERIKALI JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wapili kulia), Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (wapili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Sillo wakisikiliza Mashauriano baina ya Kamati ya Bajeti na Serikali wakati Kamati ya uongozi ilipokaa na kupokea taarifa ya kamati hiyo katika kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya Mashauriano ya Kamati hiyo na Serikali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Wa pili kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Daniel Sillo

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya Mashauriano ya Kamati hiyo na Serikali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mawaziri, Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti  na Watendaji Wakuu wa Serikali (hawapo kwenye picha) wakati wa Kikao cha Kamati ya uongozi kilichokaa na kupokea taarifa ya kamati ya Bajeti juu ya Mashauriano ya Kamati hiyo na Serikali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Kuanzia kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Daniel Sillo

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)