MWAKILISHI wa Familia ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Balozi Ali Karume akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
********************************
NA EMMANUEL MBATILO
Klabu ya Simba Sc leo imeendelea kuvuna pointi baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 2-0 kwenye uwanja wa Kaitaba.
Mabao yote mawili...