Home Mchanganyiko RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPICHA MAKATIBU WAKUU, NAIBU MAKATIBU WAKUU NA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPICHA MAKATIBU WAKUU, NAIBU MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia mara baada ya kuwaapisha MAkatibu Wakuu, Naibu Makatibu
Wakuu na Wakuu wa Taasisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne April
6, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

akimuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
na Mipango katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatatu April 6, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Bw. Allan Albert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Maliasili na Utalii katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatatu April 6, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kheri Abdul Mahimbali kuwa Naibu Katib u Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Profesa Godius Walter Kahyarara kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu (Uwekezaji) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatatu April 6, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Bw. Gabriel Joseph Migire kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi na Uchukuzi (anayeshughulikia uchukuzi) katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Bw. Alphayo Japani Kidata kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatatu April 6, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka
ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya katika hafla iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Philip Isidory Mpango akiongea katika
hafla ya kuapisha Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakiuu wa
Taasisi  iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6,
2021 Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi
mbalimbali wakila kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma baada ya
kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatatu April 6, 2021