Home Mchanganyiko WABUNGE WATATU WALIOTEULIWA NA RAIS SAMIA WAAPISHWA BUNGENI

WABUNGE WATATU WALIOTEULIWA NA RAIS SAMIA WAAPISHWA BUNGENI

0

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akila kiapo cha utii cha kuwa Mbunge bungeni katika kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ,akipongezwa na Spika wa bunge Job Ndugai mara baada ya kula kiapo cha utii kuwa Mbunge wakati wa  kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akipokea vitendea kazi na  Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai,(kulia) ni Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kula kiapo cha Utii kuwa Mbunge wakati wa kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Liberata Mulamula akila kiapo cha utii bungeni katika kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Bashiru Ally akila kiapo cha utii mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai  katika kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Bashiru Ally akipongezwa na  Spika wa Bunge, Job Ndugai mara baada ya kuapishwa kuwa Mbunge wakati wa  kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.

Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Balozi Bashiru Ally akipokea vitendea kazi kutoka kwa  Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai,(kulia) ni Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kula kiapo cha Utii kuwa Mbunge wakati wa kikao cha tatu cha Bunge, jijini Dodoma leo April 1,2021.

……………………………………………………………………………………

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu  walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu Hassan.

Wabunge hao wameapishwa leo April 1,2021 bungeni jijini Dodoma walioapishwa ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi Bashiru Ally na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk walioteuliwa