Home Burudani PONGEZI KWA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ZATOKA UJERUMANI

PONGEZI KWA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ZATOKA UJERUMANI

0
¬†“NGOMA AFRICA BAND ” Yampongeza Rais
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band a.k.a
FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchi ujerumani inaungana na watanzania wote kumpongeza Rais wetu mpya Rais Mama Samia Suluhu Hassan na kumtakia kila la heri katika kuliongoza taifa letu la Tanzania . Kiongozi wa bendi hiyo Bw.Ebrahim Makunja almaarufu kamanda Ras Makunja akiongea kwa niyaba ya bendi yake amesema tunamuunga mkono kwa kila hali  Rais Mama Samia Suluhu Hassan,huyu ndiye Rais wetu,Amirijeshi mkuu wetu,jemadali wetu tupo pamoja katika ujenzi wa taifa .
Mungu Ibariki Tanzania
“Wembe ni Ule Ule”