Home Michezo TAIFA STARS YAICHAPA LIBYA BAO 1-0 KWENYE UWANJA WA MKAPA

TAIFA STARS YAICHAPA LIBYA BAO 1-0 KWENYE UWANJA WA MKAPA

0

*****************************

NA EMMANUEL MBATILO

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kuichapa timu ya Taifa ya Libya bao 1-0 katika uwanja wa mkapa Jinini Dar es Salaam.

licha ya ushindi huo kwa Taifa Stars imewaweka katika nafasi ya tatu lakini hawajabahatika kufuzu hatua inayofuata katika michuano ya kutinga fainali za AFCON mwakani.

Goli la Taifa Stars liliwekwa kimyani na Mshambuliaji Saimon Msuva mnamo dakika ya 45+2 ya mchezo kipindi cha kwanza