Home Mchanganyiko MAMA FATMA KARUME ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA HAYATI DKT JOHN...

MAMA FATMA KARUME ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI

0

Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar marehemu Mzee
Abeid Amani karume, akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika
Uwanja wa Amaan mjini Unguja leo Jumanne Machi 23, 2021

PICHA NA IKULU